All for Joomla All for Webmasters
SONG LYRICS

Matatizo Lyrics-Harmonize

verse 1

Aiee ma, olelelele
alfajiri imefika, anga inang’aa
mvua inaanza katika,
ghafla tumbo la njaa,
naweka sauti kwa spika
nipate umbea wa dar
mara simu inaita
jina la anko twah akisema,
mama yu hoi kitandani,
mama si wa leo wa kesho
na kupona sizani upate japo neno la mwisho

chorus

Mi ndo mtoto wa pekee
nyumbani wananitegemea,
mdogo wangu wa kike aliduni alishaga olewa
tizama jasho langu la mnyonge,
kipato hakikidhi mahitaji,
napiga moyo konde,
Yarabi mola ndio mpaji

Matatizo, yatakwisha lini
Matatizo, kila siku mimi
Matatizo, yatakwisha lini
Japo likizo nifurahi na mimi.

verse 2
mola aliniumba na subira ,
imani pekee ngao yangu,
mbona nishasali sana ,
ila bado tafarani,
mama kanifunza kikabira,
ikunde sanda haimi yangu,
tena nijitume sana,
na vya watu nisivitamani
ata mpenzi nilonaye,
najua siku atanikimbia,
itanitesa ye ndio nguzo oh
zile ngoja kesho baadaye,
atachoka kuzivumilia,
anakosa ata matunzo -oh,
ona aa,nadaiwa kodi nilipopanga ,
nashinda rodi nikiranda,
nishapiga hodi kwa waganga,
kwa kuhisi narogwa,
nikauza maji na karanga,
nikawa dobi kwa viwanda,
ila kote ziro ni majanga,
mtindo mmoja,

Chorus

1 Comment

1 Comment

  1. Calvin's odhiambo

    October 4, 2016 at 9:37 am

    Ts wonderful to observe wat a friend can come up with when given an opportunity

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Featured
Mapenzi Hisia- Otile Brown

Otile Brown-Mapenzi Hisia lyrics

Verse 1 Tunapendeza pamoja,Nidhairi Tuliumbwa tuwe pamoja,Baby Nasisi uwaga pamoja,Daily Na kama kando yake hukuniona Jua siko mbali. {Mana me kivuli chake ...

Read More

5 Things Not To Do After The Freshers Week Is Over

Before you arrived at university, all sorts of fresher tips were probably thrown your way, but it doesn’t stop just yet. ...

Read More

TODDLER FRESHMEN

Just a week after freshmen were admitted into the school and they would not even have the courtesy to spare ...

Read More

HOW TO KICK IT OFF AS A FRESHAA IN MASENO

You just arrived at the only university on the Equator and you have no idea whatsoever of how to go ...

Read More

One On One With Sanaa King.

Barely a year in the industry of music, 20 year old Habert Mande known by his stage name Sanaa King has come ...

Read More

10 Places Freshmen Need To Be Familiarized With In Maseno

Maseno University lies on the boundary of Vihiga and Kisumu counties in Maseno town. It has the college and the Siriba campus. The ...

Read More

Maseno's Two Rivers Mall

Call it the most congested hostel in an institution of higher learning, I call it the only 24 hour informal ...

Read More

Open Letter to A Classmate

Dear classmate who sits at the front of the class (near the lecturer) with a blue pen, red pen, a ...

Read More

The Dilemma of a Campus Pregnancy

Pregnancy is the most beautiful thing that a woman can experience. It marks the transition from being merely a woman ...

Read More

The Campus Girl Is Not A WIFE

The Campus girl is eons away from the wives our mothers are.She has slowly and surely evolved into a chemist ...

Read More

Copyright © 2017 Equator News.

To Top